KAMANDA SAKAYA WA CUF AMBWAGA KIGOGO WA CCM,NI PROFESA KAPUYA,SOMA HAPO KUJUA
NAIBU katibu mkuu wa chama cha Wananchi CUF
Magdarena Sakaya ameibuka mshindi kwenye nafasi ya Ubunge kupitia jimbo la Kaliua mkoani Tabora baada ya kumbwaga Kigogo wa chama cha
Mapinduzi CCM,Profesa Kapuya.
Hakuna maoni
Chapisha Maoni