Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Ukawa, Mhe. Edward Lowassa akifuatana na Mgombea Mwenza Juma Haji Duni leo wamekamilisha zoezi la kurudisha fomu katika tume ya Taifa ya Uchaguzi.
|
Mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha Democrasia na maendeleo chadema ndugu EDWARD LOWASA akizungumza na wanahabari mapema leo mara baada ya kurejesha Form na kiuwa mgombea rasmi wa uUais |
|
Mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha ADC CHIEF YEMBA akiwa na yeye amerejesha form hapa tume ya taifa ya uchaguzi |
|
Hashimu Rungwe mgombea urais wa tiketi ya chama cha umma CHAUMA akiwa anawasili kurejesha form kwa ajili ya kugombea Urais |
|
Kutoka UPDP ni FAHMI DOVUTWA mwenyekiti akiwasili NEC |
|
Kutoka ACT ni mwenyekiti wake ANNA MGWIRA akiwa anaondoka makao makuu ya NEC mara baada ya kurejesha form yake
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi ndugu John Pombe Magufuli amerudisha fomu ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) muda huu.
|
Hakuna maoni
Chapisha Maoni