Zinazobamba

CCM YAZIDI JIFIA, MAKADA WAKUBWA WENGINE WATIMKIA CHADEMA,SOMA HAPO KUJUA

Mr. Paul Matemu katibu wa fedha na mchumi wa Ccm mkoa wa Kilimanjaro na Mr. Fredrick Mushi Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kilimanjaro. Wamejiuzulu nyadhifa zao ndani ya chama kwa kutoridhishwa na utendaji mbovu wa CCm. Na kujiunga rasmi na CHADEMA. Wakiungwa mkono na wanachama 200.  :

Hakuna maoni