BREAKING NEWS,PROFESA LIPUMBA AMEJIUZULU RASMI,SOMA HAPO KUJUA
MWENYEKITI
wa Chama cha Wananchi CUF ametangaza
kujiuzulu nafasi ya uongozi wa chama hicho.Anaandika KAROLI VINSENT endelea
nayo.
Akitanga Uamuzi huo mda huu, wakati wa
Mkutano na waandishi wa Habaria ambapo amesema amemwandikia barua Katibu mkuu
wa Chama hicho Maalim Sefu ya kutaka kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti aliokuwa nao, na kubaki kuwa mwanachama wa kawaida baada ya kutolizika na maamuzi
yalioyofikiwa na viongozi wenzake wa UKAWA Katika maamuzi mbali mbali.
ENDELEA KUFUATILIA
FULLHABARI .BLOGS, UTAPA TAARIFA KAMILI
Hakuna maoni
Chapisha Maoni