Tayari mkoani Arusha mambo yameanza baada ya mgombea EDWARD LOWASA kuwasili kusaka wadhamini leo,hizi ni Picha za kwanza kabisa za lowasa akiwasili arusha na hali ilivyo uwanjani atakapohutubia leo,picha zaidi endelea kufwatilia mtandao huu
ARUSHA IMEZIZIMA SASA TSUNAMI YA LOWASSA YAANZA KAZI YAKE,TIZAMA PICHA HIZI
Reviewed by Full habari Digital
on
13:28:00
Rating: 5
Hakuna maoni
Chapisha Maoni