MASIKINI LOWASA,
Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa akizungumza na mamia wakati wa kutangaza adhima yake ya kujiunga na Chadema katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam. |
Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa akijibu maswali ya waandishi wa habari juu ya kujunga kwake katika Hoteli ya Bahari Beach leo jijini Dar es Salaam. |
Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema,Freeman Mbowe akimpa kadi ya uanachama Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu,Regina Lowassa leo katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam. |
Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema,Freeman Mbowe akimkabidhi kadi ya uanachama wa chama hicho,Mh.Waziri Mkuu Mstaafu,Edward Lowassa leo katika hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam. |
Imefika wakati tuachane na siasa za maji taka siasa za kujadili watu tufanye siasa za maswala, kujadili issue sio vitu na watu ,siasa za maswala hua zinashindanisha hoja hua zinashindanisha sera ila hizi siasa za maji taka za kujadili watu mara nyingi ni siasa za kujadili uzushi kujadili mizengwe kujadili majungu fitna na chuki hatuwezi kupata viongozi wa taifa kwa kuendelea na aina hii ya siasa ni siasa mbaya na za kizamani mnoo hazina msingi wowote katika mustakabali wa Tanzania yetu.
Leo jamaa zangu wa kaskazin wanahaha kula matapishi waliyowahi kuyatema wenyew kwa siasa za maji taka .naungana na professor Kitila Mkumbo na zzk kua usiongee sana ukamaliza maneno weka na akiba ya maneno jamaa waliongea bila kua na akiba ya maneno ni hatari katika ulingo wa siasa
Namalizia kwa kusema kuna shocking news inakuja muda sio mrefu asanteni sana.
KAULI NAMBA MBILI.
Kwa mambulula peke yao ndo wamemuelewa jamaaa huwezi kusema mamlaka za juu zimeelekeza ufanye jambo ambalo unajua lina utata ndani yake na litakubomoa kisiasa ukizingatia wew binafsi una nia ya kua kiongozi mkubwa,sasa kama hapa tu wamekuuza tukikupa nchi si ndo utatumaliza kabisa jamani huyu hafai hata kidogo bila kupepesa macho. Huwezi kua kiongozi makini kwa akili za kushikiwa, kama uliona utaratibu umegubikwa na mizengwe ungeukataa na kama imeshindikana ungejuuzuru sio mpaka kwa matarumbeta yaani leo kaonyesha upuuzi wa hali ya juu kweli kweli eti mamlaka za juu zilielekeza uendelee hahaa sasa mamlaka za juu zikielekeza mavi na wew unakula mavi
Shame on you
Hakuna maoni
Chapisha Maoni