Zinazobamba

Sheria ya Mitandaoni: wanaharakati wasema BIG NO!!!, IKISAINIWA NI hATARI KWA WANANCHI

Wajumbe wa Bunge maalum la katiba wakifuatilia kwa makini semina iliyoandaliwa na mtandao wa wanawake na katiba kwa ajiri ya wajumbe wa bunge maalum la katiba kuhusu masuala ya jinsia iliyofanyika mwaka jana mwezi wa nane katika ukumbi wa pius Msekwa huko mjini Dodoma, (Picha kwa hisani TGNP)

Mtandao  wa Watetezi wa  Haki za Binadamu kwa kushirikiana na baadhi ya Wanachama wake, Kituao cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), SIKIKA,  Mtandao wa Jinsia-TGNP, Jamii Forum, Mtandao wa Watoa Huduma za Msaada wa Kisheria (TANLAP)   tumeshtushwa  an kusikitishwa  na kitendo cha Bunge la Jamhuri   ya Muungano  kupitisha  Mswaada wa  Sheria ya Takwimu ya Mwaka 2015 na Pamoja na Sheria ya Makosa ya Mtandaoni bila kurekebisha au  kuviondoa vifungu vinavyokwenda kinyume na Katiba  ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.

No comments