HABARI KUBWA-SERIKALI YAUFYATA MGOMO WA MADEREVA YAKUBALI YAISHE,SOMA HAPA KUJUA
Waziri wa Kazi na Ajira Mhe. Gaudencia Kabaka amefanikiwa kumaliza mgomo
wa madereva baada ya kutangaza kufuta agizo lililokuwa likiwataka madereva wa
mabasi na malori kwenda kusoma tena katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT)
Kuhusu suala la Madereva kusoma, Serikali na Madereva wamekubaliana kukutana mwezi huu tarehe 18 kuzungumza njia mbadala ya kutumika.
Miongoni mwa malalamiko ya madereva ilikuwa ni kukerwa na tochi za barabarani, hivyo jeshi la Polisi wamekubali kuziondoa.
Pia serikali imeagiza Madereva wote wapewe mikataba ya ajira za uhakika na waajiri wao na Trafiki wameagizwa kulifatilia hilo

No comments
Post a Comment