SINEMA YA URAIS WA LOWASSA,YAZIDI KUIBUKA,SASA WATU 700,WAMFUATA KWAKE KUMPIGIA MAGOTI SOMA HAPA KUJUA
makundi mbalimbali ya kijamii ya mikoa ya Kaskazini, inayojumuisha mikoa ya Kilimanjaro, Tanga, Arusha na Manyara wakiwa wanaandamana kwa pamoja kuelekea kwa mbunge wa jimbo la monduli hii leo
Katibu wa Chama cha Wasioona Mkoa wa Kilimanjaro (TLB), Protas Soka Akisoma risala kwa niaba ya makundi hayo mbele ya mbunge wa jimbo la monduli
Viongozi mbalimbali wa makundi ya kijamii wakiwa wanamkabidhi waziri mstaafu ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Monduli Edward Lowasa bahasha yenye fedha taslimu shilingi milioni mbili laki tano sitini na saba elfu na mia sita zilizochagwa na wananchi kwa ajili ya kwenda kuchukuwa fomu ya kugombea nafasi ya Urai
Hakuna maoni
Chapisha Maoni