CHUO CHA UDSM CHAGEUKA KUWA UWANJA WA KILIO,BAADA YA MTO KUFUKA MABWENINI SOMA HAPA KUJUA
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) wanaoishi kwenye Hostel za Mabibo,wakiangalia moja ya majengo ya Hostel hizo likiwa limeshika moto asubuhi hii.Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana na msaada wa haraka unahitajia ili kuokoa mali zilizopo kwenye Jengo hilo. |
Hakuna anaeamini anachokiona,kwani imekuwa ni tukio la ghafla sana. |
Baadhi ya Wanafunzi waliokuwa wakiishi kwenye Jengo hilo wakiwa nje,huku wakiwa hawajui la kufanya wakati moto huo ukiendelea kuwaka. |
Hakuna maoni
Chapisha Maoni