Zinazobamba

SHULE BORA HIZI HAPA,NA SHULE ZA MWISHO NA WANAFUNZI BORA KWENYE MATOKEA YA KIDATO CHA NNE BOFYA HAPA



pichani ni Katibu wa Baraza la Mitihani Necta,Docta Chalres E Msone akitangaza matokeo hayo Jana kwenye Mkutano na waandishi wa Habari picha na Exaudi Mtei



SHULE KUMI BORA ZILIZOFANYA VIZURI KATIKA MATOKEO YA MWAKA 2014 YA KIDATO CHA NNE NI
1 S4631 , SHULE YA KAIZEREGE ,ILIKUWA NA WANAFUZNI 83 IPO MKOA WA KAGERA.
2-S4645,SHULE YA MWANZA ALLIANCE.ILIKUWA NA WANAFUNZI 44 IPO MKOA WA MWANZA.
3-S4213— SHULE YA MARIAN BOYE,ILIKUWA NA WANAFUNZI 114 IPO MKOANI PWANI.
4-S0239-SHULE YA ST-FRANCIL GIRLS ILIKUWANA NA WANAFUNZI  90 INATOKA MKOANI MBEYA.
5-S3470-SHULE INAITWA  ABBEY ILIKUWA NA WANAFUNZI 60,INATOKA MKOANI MTWARA
6-S0298-SHULE INAITWA FEDHA GIRLS ILIKUWA NA WANAFUNZI 55 INATOKA MKOA WA DAR ES SALAAM.
7-S-2323 SHULE INAITWA CASSONA ILIKUWA NA WANAFUNZI 90 INATOKA MKOA WA DAR ES SALAAM
8-S0268 SHULE INAITWA BETHEL SABBS GIRLS INAWANAFUNZI 80 INATOKA MKOA WA IRINGA.
9 –S 0248 SHULE INAITWA MARIAN GIRLS ILIKUWA NA WANAFUNZI 134 INATOKA MKOA WA PWANI.
10-S0189 FEZA BOYS ILIKUWA NA WANAFUNZI 69 INATOKOA MKOA WA DAR ES SALAAM.
NA SHULE KUMI ZILIZOFANYA VIBAYA YAANI NI ZA MWISHO NI.
1 S3515 SHULE INAITWA MANOLO ILIKUWA NA WANAFUNZI 56 INATOKA MKOA WA TANGA.
2-S 4256 SHULE INAITWA CHOKOCHO ILIKUWA NA WANAFUNZI 53 INATOKA MKOA WA PEMBA.
3 S3315,SHULE INAITWA KWALUGURU ILIKUWA NA WANAFUNZI 66 INATOKA MKOA WA TANGA.
4 S4493,SHULE INAITWA RELINI ILIKUWA NA WANAFUNZI 161 INATOKA MKOA WA DAR ES SALAAM.
5 S3377,SHULE INAITWA MASHINDE ILIKUWA NA WANAFUNZI 66 INATOKA MKOA WA TANGA.
6-S4883-SHULE INAITWA NJELEKELA ISLAMIC SEMMINARY ILIKUWA NA WANAFUNZI 59 INATOKA MKOA WA KIGOMA.
7-S1721 SHULE INAITWA VUDE ILIKUWA NA WANAFUNZI 58 INATOKA MKOA WA KILIMANJARO.
8-S1154 SHULE INAITWA MNAZI ILIKUWA NA WANAFUNZI 64 INATOKA MKOA WA TANGA.
9-S 4206 SHULE INAITWA RUHEMBE ILIKUWA NA WANAFUNZI 48 INATOKA MKOA WA MOROGORO.
10-S 0961 SHULE INAITWA MAGOMA ILIKUWA NA WANAFUNZI 66 INATOKA MKOA WA TANGA.
WATAINIWA WALIOFANYA VIZURI KITAIFA NI.
1 NYAKOHO I MARUNGU,JINSIA NI MWANAMKE SHULE INAITWA BAOBAB ILIYOKO MKOA WA PWANI.
2-ELTON SADOCK JACOB JINSI YA KIUME ANATOKA SHULE YA FEZA BOYS ILIYOKO MKOA WA DAR ES SALAA.
3-SAMWEL M ADAM  JINSIA YA KIUME ANATOKA SHULE YA MARIAN BOY ILIYOKO MKOA WA PWANI.
4-FAINESS JOHN MWAKIBISIMBA JINSIA YA KIKE ANATOKA SHULE YA ST-FRANSIS GIRLS ILIYOKO MKOANI MBEYA.
5-MUGISHA REYNOLD LUKAMBUZI JINSIA YA KIUME SHULE INAYOTOKA NI BENDEL MEMORAL ILIYOKO MKOANI KILIMANJARO.
6 PAUL W JIJIMYA JINSIA YA KIUME ANATOKA SHULE YA MARIAN BOYS  ILIYOKO MKOA WA PWANI.
7 ANGEL LUNGREEN MCHARO  JINSIA YA KIUME ANATOKA SHULE YA ST-FRANCIS  GIRLS ILIYOKO MKOANI MBEYA.
8 ATUGANILE CAIRO JIIMY SHULE ANAYOTOKA NI CANOSSA, JINSIA YA KIKE ANATOKA MKOANI MBEYA
9 JENIFA  LUNDEGREEN MCHARO SHULE INAITWA ST-FRANCIS GIRLS ILIYOKO MBEYA.
10 MAHMOUDDADI BAKILI JINSIA YA KIUME SHULE ANAYOKTOKA NI FEZA BOYE MKOANI DAR ES SALAAM.
Kwa ujumla mwaka huu waliopata ufahulu mzuri ambao wataweza kuendelea na elimu ya kidato cha tano na cha sita waliopata madaraja ya dictinction,Merit na credit ambao inadi yao ni 73,832 mtihani  sawa na asilia 30.72 wasichana ni 27,991 sawa na asilimia 25.32 na wavulana ni 45,841 sawa a asilimia 35.33 kati ya wanafunzi  196,805 waliofanya mtihani
ZOTE HIZI ZIMEANDIKWA NA KAROLI VINSENT MWANDISHI WA MTANDAO HUU NA KUSAIDIWA NA BARAZA LA MITIHANI NCHINI NECTA


Hakuna maoni