KINACHOENDELEA KWENYE KESI YA ESCROW-CHENGE AIZIBA MDOMO MAHAKAMA SOMA HAPA KUJUA
|
BARAZA la Maadili leo limeshindwa kusikiliza Kesi inayomkabili Mbunge wa jimbo la
Bariadi Magharibi Andrew Chenge,kutokana na Mbunge huyo kukimbilia Mahakama kuu
kukata rufaa ili kulizuia Baraza hilo lisijadili kesi yake inayomkabali mpaka
pale tafsiri ya sheria itakapopatikana-
Tafsiri anayoidai Chenge ni ile ya Mahakama kuu inayokataza zuio la Vyombo vyovyote kutozungumzia sakata linalohusu Akaunti ya Tegeta Ecsrow .
Chenge
ambaye alikuwa mwanasheria Mkuu wa Serikali ametoa zuio kwenye Baraza la
Maadili leo Jijini Dar es Salaam ambapo Mwenyekiti wa Baraza hilo Jaji mstaafu
Hamis Msumu na kukubali ombi hilo la change na kuichia mahakama kuu itakapoto taarifa kamili .
ENDELEA
KUFUATILIA BLOGS HII KUPATA YANAYOJILI KWENYE KESI INAYOENDELEA AMBAPO
MWANDISHI WA MTANDAO HUU KAROLI VINSENT YUKO AKIFUATILIA KWA MAKINI KESI
INAYOMUHUSU WAZIRI WA ZAMANI WA ARDHI PROFESA TIBAIJUKA
Hakuna maoni
Chapisha Maoni