Zinazobamba

KINANA WA CCM AICHAKAZA UKAWA NGOME YAKE TANGA,AZOA WANACHAMA KIBAO,BOFYA HAPA


 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa maalumu kwa ajili ya kuwapongeza wananchi kuwachagua viongozi wa CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyka nchini kote Desemba 14 mwaka jana. CCM imepata ushindi wa asilimia 81 nchi nzima. Kinana amesema maeneo yote ambayo upinzania wameshinda na ushindi uliosababishwa na baadhi ya wana CCM NA ENDAPO WATAGUNDULIKA WAMEFANYA KUSUDI KUKIKOSESHA USHINDI CHAMA WATAWAJIBISHWA.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa maalumu kwa ajili ya kuwapongeza wananchi kuwachagua viongozi wa CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyka nchini kote Desemba 14 mwaka jana. CCM imepata ushindi wa asilimia 81 nchi nzima.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa maalumu kwa ajili ya kuwapongeza wananchi kuwachagua viongozi wa CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyka nchini kote Desemba 14 mwaka jana. CCM imepata ushindi wa asilimia 81 nchi nzima.

 Kinana akisalimiana na wananchi wa Tanga, wakati akiingia kwenye mkutano huo wa hadhara kwenye Uwanja wa Tangamano jijini Tanga. Tanga imekuwa ya pili nchini kwa kwa kushinda uchaguzi huo kwa asilimia 97 ambapo ya kwanza ni Mkoa wa Iringa ulioshinda kwa asilimia 98.
 Kinana akipanda jukwaani kuhutubia.
 Sehemu ya umati wa wananchi wakisikiliza kwa makini wakati Kinana akihutubia

 Mmoja wa wafuasi wa CCM akishangilia kwa furaha hotuba ya Kinana
 Ni furaha kubwa kwa wana CCM
 Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Kata ya Pongwe, Mbaraka Saad Mbaraka  akipokea kadi ya CCM kutoka kwa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana baada ya kutangaza kuihama CUF na kujiunga na CCM pamoja na wanachama wengine 200.
 Kiongozi wa kikundi cha Taarabu cha Jahazi, Mzee Yusufu akifanya mambo alipokuwa akitumbuiza katikamkutano huo wa kushangilia ushindi wa CCM

 Mzee Yusufu akionesha umahiri wake
 Kikundi cha Jahazi kikishambulia jukwaa na kukonga nyoyo za wapenzi na wafuasi wa CCM.
 Mbunge wa Jimbo la Bumburi, January Makamba akimpongeza msaniii Mzee Yusufu.
 WANANCHI WAKISHANGILIA SHOO YA KIKUNDI CHA JAHAZI

 Aliyekuwa mgombea ubunge Tanga Mjini 2010 kupitia Chadema, Hassan Omary Mbaraka akitangaza kuhamia CCM baada ya kukunwa na hotuba ya Kinana katika mkutano huo.
 Kinana akiagana na wananchi baada ya mkutano kumalizika.

Kinana akipanda gari tayari kuondoka baada kumalizika kwa mkutano huo

Hakuna maoni