HABARI NJEMA KUTOKA BANK M LEO,YAZIDI KULETA MAPINDUZI YA KIBANK NCHINI SOMA HAPA KUJUA
Pichani ni Afisa Mtendaji wa wa Banki M,Jacqueline Woiso akizungumza na waandishi wa habari leo Jijin hapa |
NA KAROLI
VINSENT
BANK ya kibiashara ya M imsema katika mwaka
uliomalizika wa 2014 dhamana ya Bank
hiyo zimeongezeka kwa asilimia 47 kufikia Bilion 584.5 ikiwa tofauti na mwaka
juzi 2013 dhamana ilikuwa bilioni 397 na kuifanya Banki hiyo kushika nafasi ya
8 kati ya banki 40 zilizopo nchini.
Pia katika mikopo waliotoa kwa
wateja imeongezeka kwa asilimia 26 kufikia sh 529 bilion ndani ya mwaka
jana tofautisha na mwaka juzi 2013
walitoa mikipo ya sh bilioni 421.
Waandishi wa Habari wakimsikiliza kwa makini Afisa huyo |
Hayo yametangazwa mda huu Jijini Dar es Salaam na Afisa Mtendaji
wa wa Banki M,Jacqueline Woiso wakati wa
Mkutano na Waandishi wa Habari ambapo alisema kuongezeka huko kwa Dhamana
kwenye Banki hiyo kumetokana kuwekeza huduma bora wanazotoa kwa wateja huku
wakiingizia serikali katika Faida ya kodi katika kipindi cha mwaka jana hadi
kufikia Bilioni 20.1 tofauti na mwaka juzi ambapo Serikali ilipata kodi ya
Bilioni 20.1..
Aidha,Bi Woiso aliongeza kuwa
faida ya inatokanayo na riba za mikopo imeongezeka kutoka asilimia 13.5 Bilioni
mwishoni mwa robo mwaka na pia katika
Faida itokanayo na huduma za kibenki imeongezeka kutoka sh 3.32 Bilion mwishoni mwa mwaka 2013 hadi
kufikia Bilion 4.71 mwishoni mwaka ja na 2014.
Vilevile Bi Woiso aliwataka wananchi
kuendelea kuidhamini Bank hiyo kwani imeawaandalia mambo mazuri katika mwaka
huu wa 2015.
Hakuna maoni
Chapisha Maoni