BREEKING NEWZZZ,VIONGOZI WA PANYA ROAD WAKAMATWA, TAZAMA PICHA ZAO HAPA
VIONGOZI WA KUNDI LA PANYA ROADI BAADA YA KUKAMATWA NA JESHI LA POLISI HUKO TANDALE, WATU HAWA NDIO VINARA WALIOSABABISHA JIJI KUTOKALIKA KWA MASAA KADHAA |
NA KAROLI VINSENT
TAARIFA
ambazo zimetufikia mda huu zinasema Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar Es
Salaam limewakamata jumla ya mbwa mwitu
510 ikiwa ni harakati za kufichua kundi hio kubwa na Panya road waliotikisa
jiji La Dareslaam mapema hivi karibuni
Akizungumza
na waandishi wa habari ofisin kwake, kamanda wa polisi kanda maalum ya
Dareslaam amesema tayari jeshi hilo pia limefanikiwa kuwakamata viongozi muhimu
wa kundi hilo ambao mara kibao wameonekana kusadia kufanyika kwa vurugu hizo,
Habari
kamili itakujia hivi punde endelea kufuatilia mtandao huu
Hakuna maoni
Chapisha Maoni