Zinazobamba

SAKATA LA HAWA GHASIA KUTIMUA WAKURUGENZI SASA LAIBUA MAKUBWA, cHADEMA YASEMA HUKO NI KUTOANA KAFARA



Harold Sungusia akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari kuhusu walichokiona katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika hivi karibuni nchini kote, Wakili Sungusia amekiri kuona madudu katika chaguzi hizo ambazo amedai kwa kiasi kikubwa vimeminya wananchi kuweza kutumia haki yao ya msingi ya kupiga kura, Dosari lukuki zimeonekana.

Naibu katibu mkuu Zanzibar Salum Mwalimu Akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari kuhusu sakata la dosari ambazo zimetokea katika uchaguzi mdogo wa serikali za mitaa uliomalizika hivi punde, Mwalimu amesema, hatua ambazo serikali wamezichukua hazitoshi kwani bado wakurugenzi hao wanapewa fursa nyingine ya kuoendelea kuboronga.

Sehemu ya waandishi wa habari waliohudhuria kikao cha Chadema kilichofanyika mapema hii leo jijini Daresalaam.

Hakuna maoni