JAMES MBATIA AMCHAKAZA MREMA JIMBO LA VUNJO,SOMA HAPA
Kikundi cha Nyimbo cha Mlimbo Uwo kikitoa burudani wakati wa kampeni za Chama cha NCCR-Mageuzi za kuwanandi wagombea wa nafasi mbalimbali katika kijiji cha Mlimbo Uwo katika jimbo la Vunjo. |
Wananchi katika kijiji cha Mlimbo Uwo wakijibu salamu ya chama cha NCCR-Mageuzi katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Mlimbo Uwo. |
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi James Mbatia akihutubia wananchi katika kijiji cha Mlimbo Uwo wakati akiwanadi wagombea katika kampeni za kuwania nafasi mbalimbali za ungozi katika kijiji hicho. |
Diwani wa kata ya Mwika Kusini kwa tiketi ya TLP,Meja Jesse Makundi akizungumza katika mkutano wa kampeni wa kuwanadi wagombea wa chama cha NCCR-Mageuzi katika kijiji cha Mlimbo Uwo. |
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi ,James Mbatia akionesha kitabu alichoandika kuhusu Uwajibikaji katika Uongozi ,kitabu ambacho amekigawa jimbo zima la Vunjo. |
Wananchi katika kijiji cha Maring'a wakimpokea Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi James Mbatia kwa majani ya Masale wakati alipofika kuwanadi wagombea wa nafasi za Uenyekiti kupitia chama hicho. |
Diwani wa kata ya Miwka Kusini kwa tiketi ya TLP ,Meja Jesse Makundi akihutubia katika mkutano wa kampeni wa chama cha NCCR-Mageuzi akiwanadi wagombea wa chama hicho katika kijiji cha Maring'a. |
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi ,James Mbatia akiwahutubia wananchio katika kijiji cha Maring'a katika jimbo la Vunjo. |
Wananchi katika kijiji cha Maring'a wakimshangilia mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi wakati alipohutubia katika mkutano wa hadhara katika kijiji hicho. |
Mh Mbatia akimnadi mgombea wa nafasi ya uenyekiti katika kijiji cha Maring'a. |
Wagombea wa nafasi ya Wajumbe wa Halmashauri wakiwa na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi wakati wa mkutano wa kuwanadi wagombea wa chama hicho uliofanyika katika kijiji cha Maring'a. |
Mh,Mbatia akitoka katika uwanja wa ofisi za kijiji cha Maring'a mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa kampeni katika kijiji hicho. |
Mh Mbatia akipokewa na wakazi wa kijiji cha Lole alipofika kwa ajili ya kuwanandi wagombea wa nafasi auenyekiti katika kijiji hicho |
Mh Mbatia akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Lole katika jimbo la Vunjo. |
Hakuna maoni
Chapisha Maoni