CHUO KIKUU HURIA CHAWAKOMBOA WANAHABARI NCHINI--WENGI WAJIPATIA SHAHADA YA 1 NA 2 KIRAHISI,CHEKI HAWA WALIVYONUFAIKA
Kaimu Mgukurugeni wa Uhuru FM, Angela Akilimali (katikati) akiwa na wahitimu wenzake wa Shahada ya Mawasiliano ya uma ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) katika mahafali yaliyofanyika hivi katibuni mkoani Kibaha mkoani Pwani. Kushoto ni Hemed Mbaraka na Mganwa Nzota.
Wanahabari wa morogoro nao walikula nondo zao katika mahafali hayo.
Angela Akilimali akiwa na mumewe Hassan Hemedi Chamshama baada ya kumkabidhi shada la maua wakati akimpongeza.
Toka kushoto ni Idda Mushi wa ITV/Redio One - Morogoro, Angela Akilimali wa Uhuru FM na Hana Mayige wa TBC wakipozi kwa picha wenye furaha baada ya kula nondo zao
Hakuna maoni
Chapisha Maoni