HIVI NDIVYO JK ALIVYOMWAPISHA CAG MPYA IKULU JIJINI DAR
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Musa Juma
Assad Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 02, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitia
sahihi yake kwenye nyaraka baada ya kumuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu
wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es
salaam Novemba 02, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma
Assad nyaraka baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaa Novemba 02,
2014.(P.T)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akimuangalia Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
Profesa Musa Juma Assad akiweka sahihi yake kwenye nyaraka baada ya
kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 02, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Musa Juma
Assad na CAG Mstaafu Bw. Ludovick Utouh Ikulu jijini Dar es salaam leo
Novemba 02, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa
Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Jaji Mkuu
Mhe Mohamed Chande Othman, Spika Anne makinda na Waziri wa Fedha Mhe.
Saada Mkuya na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 02, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika
picha ya pamoja na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
Profesa Musa Juma Assad na wafanyakazi wa ofisi ya CAG Ikulu jijini Dar
es salaam Novemba 02, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na
familia ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa
Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 02, 2014.
(PICHA NA IKULU)
Hakuna maoni
Chapisha Maoni