Zinazobamba

HAWA NDIO MAJINA YA VIJANA WA MBWA MWITU WALIOKAMATWA,KAMANDA KOVA ACHACHAMAA. SOMA HAPA

Pichani ni Kamishna wa Kanda Maalum ya Dr es Salaam Suleiman Kova akiongea na waandishi wa Habari kuhusu Vitendo vya Uharifu  picha na Maktba


JESHI la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata Vijana wanao
jihusha na vitendo viharifu,katika oparesheni iliondaliwa na Jeshi hilo limewakamata  watuhumiwa  maarufu kwa jina la Mbwa Mwitu au kumi ndani kumi nje. Katika msako huo watuhumiwa wapatao 10 walikamatwa wakiwa na silaha za jadi watuhumiwa hao ni  kama wafuatavyo:-
1.    MAGANGA S/O SULTANI, Miaka 20, hana kazi, Mkazi wa Tandika Maguruwe.

2.   ABDILAHI S/O MOHAMED, Miaka 18, Mkazi wa Tandika Maguruwe.

3.   ALFANI S/O MOHAMED, Miaka 22, Mkazi wa Tandika Maguruwe.

4.   RAMADHANI S/O MOHAMED, Miaka? Fundi, Mkazi wa Tandika Maguruwe.

5.   ABDALLAH S/O SHABAN, Miaka 18, Mkazi wa Tandika Maguruwe.

6.   MSABAHA S/O JUMA RASHIDI, Miaka 18, Mkazi wa Tandika Maguruwe.

7.   ABDALLAH S/O MOHAMED MWINYIMKUU, Miaka 15, Mkazi wa Tandika Maguruwe.

8.   WAZIRI S/O SAIDI WAZIRI, Miaka 18, Mkazi wa Tandika Maguruwe.

9.   ALLY S/O ATHUMAN, MWINYIMKUU, Miaka 18, Mkazi wa Tandika Maguruwe.

10. ALLY S/O ABDALLAH, Miaka 21, Mkazi wa Tandika Maguruwe.


Hakuna maoni