Zinazobamba

HABARI ILIYOSIMAMISHA JIJI NI HII-SOMA HAPA KUJUA

  Baadhi
ya Wanafunzi kutoka shule mbalimbali wakiwa kwenye uzinduzi wa matembezi ya maadhimisho  ya
siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya Wanawake na watoto yaliyofanyika
katika viwanja vya Oysterbay Polisi,leo Jijin Dar. 




   Baadhi ya Wanafunzi kutoka shule mbalimbali  wakiongozwa na Brass band yaJeshi la Polisi,wakiwa kwenye uzinduzi wa matembezi ya maadhimisho  ya siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya Wanawake na watoto yaliyofanyika katika viwanja vya Oysterbay Polisi,leo Jijin Dar.



 Baadhi ya Askari Jamii wakiwa kwenye uzinduzi wa matembezi ya maadhimisho  ya siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya Wanawake na watoto yaliyofanyika katika viwanja vya Oysterbay Polisi,leo Jijin Dar. 



Baadhi ya Maofisa wa Polisi wakisubiri  kupokea matembezi ya uzinduzi wa maadhimisho  ya
siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya Wanawake na watoto yaliyofanyika
katika viwanja vya Oysterbay Polisi,leo Jijin Dar. 

Hakuna maoni