Zinazobamba

EXIM BANK NDIYO MWAJIRI BORA WA MWAKA 2014


unnamed 
Mkuu wa Rasilimali Watu wa Benki ya Exim, Bw. Frederick Kanga akipokea cheti cha ushiriki kutoka kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Pinda wakati wa tuzo za mwajiri bora wa Mwaka 2014, tukio lililoandaliwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) lililofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Picha na mpiga picha wetu.
unnamed1 
Mkuu wa Rasilimali Watu wa Benki ya Exim, Bw. Frederick Kanga (wapili kushoto) akionyesha cheti baada ya benki yake kushiriki katika tuzo za mwajiri bora wa Mwaka 2014, zilizoandaliwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) na kufanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Picha na mpiga picha wetu.
unnamed2Wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania wakisikiliza kinachojiri katika tuzo za Mwajiri Bora wa Mwaka 2014, zilizoandaliwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) na kufanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

Hakuna maoni