SITTI MTEMVU AYALAMBA MTAPISHI YAKE,AKUBALI KUUFYATA MISS TANZANIA SOMA HAPA KUJUA
Baada ya haya yote Novemba 8, 2014 Kamati ya Miss Tanzania imekutana na waandishi wa habari Dar es salaam na kutangaza kwamba Sitti Mtemvu ameandika barua kwa hiari yake yeye mwenyewe, kwamba amelivua taji hilo , hivyo kamati hiyo ikamtangaza ambaye atashikilia taji hilo kwamba ni mshindi namba mbili wa Miss Tanzania 2014 Lilian Kamazima

Hakuna maoni
Chapisha Maoni