MAZITO HAYA- WAHAYA WAVUNA MAPESA YA IPTL,WAGAWANA KAMA ZAO,RUGIMARILA AZIDI KUSHANGAZA SOMA HAPA KUJUA
pichani ni Kushoto ni Bwana James Rugimalira ambaye ndio kigogo wa IPTL picha na maktaba |
Na Karoli
Vinsent
HUKU ikiwa
bado Jinamizi la ufisadi wa zaidi
Bilioni 400 kwenye Akaunti ya Escrow likiwa bado lipo mikononi mwa Kamati ya
Bunge ya Hesabu ya Serikali PAC ili kuikagua Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali
CAG kuhusu ufisadi huu,sasa Mazito yaibuka,MTANDAO HUU UNARIPOTI.
Taarifa za
kuaminika ambazo mtandao huu unazo zinaonyesha
jinsi watu mbalimbali walivyonufaika na ufisadi huo Mkubwa kuwai tokea
tangu nchi kupata Uhuru.
Watu hao
wakiongozwa na Mkurugenzi wa Kampuni ya VIP Engineering Bwana James Rugimalira
ambayo kampuni yake ni mbia wa Kampuni ya IPTL,ambapo taarifa hizo zinamuonyesha jinsi Bwana Rugimalira
akigawa mapesa ya walipa kodi wa taifa hovyo hovyo kama hazina mwenyewe.
Taarifa mbalimbali zinamuonyesha bwana
Rugimalira ndiye anayoitumia akaunti ya Banki ya Mkombozi na kuwagawa pesa kupitia Akaunti yake ni
00120102523901 iliyoko Banki ya Mkombozi Jijini Dar Es Salaam.
Rugimalira kampuni yake ya VP Engineering
ndio ilikuwa inamilikia hisa asilimia 30 na baada ya mgawanyo wa hisa hizo
Rugimalira alipata zaidi ya bilioni 98.
Chanzo hicho cha Kuaminika kinamuonyesha
jinsi Mkurugenzi huyo alivyowanufaisha marafiki zake hususani kabila la Wahaya
kutoka mkoani Bukoba.
Mhaya wa
kwanza aliyetajwa na vyanzo mbali mbali ambaye amenufaika na mgawanyo huo ni
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo na Makazi Profesa Anne Tibaijuka ambaye
alipewa zaidi ya Bilioni 1.6 na Rugimalira ambazo yeye Tibaijuka anasema
alipewa kwa ajiri kuziokoa shule zake.
Shule hizo
Barbro Johanssen iliyoko Jijin Dar es Salaa na Kajumulu iliyoko Bukoba.
Mhaya Mwengine aliyenufaika na mapesa hayo
ya Kifisadi ni Jaji Aloysius Mujulizi ambaye naye alipewa Sh 40.4 milioni na
Rugimalira.
Naye Prof Eudes Ruhangisa naye mhaya huyu
kapewa Sh.404.2 milioni huku mipesa yote hiyo yawalipa kodi imepitia kwenye
akaunti Na 00120102544301 katika benki ya Mkombozi.
Mtu mwingine kutoka Mkoa huo wa Bukoba
ambaye naye ni pia Mhaya ni Jaji Mujulizi ambaye naye alipewa mamilioni ya pesa
kupitia kwenye Akaunti Na 00110253580 kutoka benki ya Mkombozi
Neema ya
watu wa Bukoba kuvuna pesa za kifisadi ilienda pia kwa Bwana Rweyongeza Afred
Bitungwa ambaye naye alipewa na Rugimalira milioni 40 na alipotafutwa alikili
kupewa pesa hizo na Rugimalira na kudai eti alipewa kwa ajiri ya kusaidia
matatizo madogodogo.
Mtu Mwingine
ni bwana mmoja ambaye naye ni mhaya alitambulika kwa jina moja la Kyabukoba
naye alipewa kiasa cha pesa ambacho bado mtandao huu unajakifahamu.
Wengine Jaji
Ruangisa ambaye naye pia vyanzo mbalimbali vinamtaja kuwa lipewa mgawanyo huo
Zali hilo la
kuvuna mipesa lilikwenda kwa Mhaya Mwingine ni Rugozombwa Theophil ambaye ni
mwanasheria wa RITA kupitia Akaunti Na 00120102602001,bwana Rugimalira
alimuuingizia kiasi cha Milioni 323.4 milioni pasipo bila sababu yeyote fedha
hizo ziliingia Februali 5 mwaka huu
Akaunti ya kampuni ya VIP
Engineering and Management (VIPEM), ilifunguliwa na mmoja wa wabia wa IPTL, James
Rugemalira, ambaye alikuwa akimiliki asilimia 30 ya IPTL huku kampuni ya
Mechmar Bhd ya Malaysia ikiwa na hisa asilimia 70.
Kutokana na kiasi hicho
cha hisa, Rugemalira amelipwa kiasi cha dola milioni 75 (Shilingi Bilioni 123),
zikionyesha kwamba alilipwa kiasi cha dola milioni 7.5 (Shilingi bilioni 12.4)
mwaka jana na kiasi kilichosalia alimaliziwa mwaka huu.
Kiasi hicho cha fedha
kililipwa kwa Rugemalira na kampuni ya PAP inayomilikiwa na Harbinder Singh,
ambaye kwa sasa ndiye mmiliki pekee wa IPTL baada ya kununua hisa za Mechmar na
zile za VIP.
Akaunti hiyo ya Tegeta,
ilianzishwa kwa sababu ya kuhifadhi fedha zote zilizopaswa kulipwa na Tanesco
hadi hapo mgogoro baina ya pande hizo mbili umalizike.
Hata hivyo, Septemba mwaka jana, serikali kupitia Wizara ya Nishati na
Madini, iliagiza BoT kulipa fedha hizo kwa kampuni ya PAP mara baada ya
kuridhishwa na uamuzi wa Mahakama Kuu uliosema kwamba mgogoro baina ya wamiliki
wa IPTL na
Hakuna maoni
Chapisha Maoni