MASIKINI KANISA KATOLIKI,LACHAFUKA RASMI,RUGIMARILA AWAPONZA MAASKOFU WAKE SOMA HAPA KUJUA
Pichani ni Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Nchini Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo Picha na Maktaba |
KANISA katoliki nchini limeingia kwenye Kashfa nzito ambayo halitoliacha salama kanisa hilo kubwa nchini na Duniani,baada ya maaskofu wake wajuu kupokea pesa za kutoka kwa bwana James Rigimalira ni Mmiliki wa kamnpuni VIP ambaye anatajwa kuliibia taifa kupitia Mkataba wa kinyonyaji IPTL
Hayo
yamegundulika mda huu Bungeni Dodoma wakati ikisomwa ripoti ya mkaguzi mkuu wa
Serikali CAG ilikuwa inalikagua ufisadi huo na Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya
Hesabu ya Serikali PAC Zitto Kabwe ambapo Zitto alisema Mkurugenzi wa VP
engineering bwana James Rugimarila aliwaangizia pesa, Msaidizi wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la
Bukoba, Dk. Methodius Kilaini ambaye ameingiziwa milioni 80 kutoka kwa bwana
James Rugimalira pasipo sababu yeyote huku ikizingatia huyu ni kiongozi wa
dini.
Mbali na Askofu
Kilaini,Zitto Kabwe alimtaja Askofu Mwingine wa kanisa Katoliki kutoka Jimbo kuu
la Dar es Salaam Askofu Mzigilwa naye amepewa Milioni 40.4 pasipo sababu ya
msingi.
Endelea kufuatilia mtandao
huu utakutajia wengi wanaotajwa kwenye Kamati ya zitto Kabwe
Hakuna maoni
Chapisha Maoni