pichani kushoto ni Meneja wa Mauzo wa Kampuni ya King'amuzi cha Startimes Bwana David Kisaka akizungumza na waandishi wa Habari leo kuhusu kuzinduliwa promesheni mpya ambayo Kampuni hiyo imezindua katika kipindi hiki cha Sikuku ambapo king'amuzi cha Startimes kimeshuka toka elfu tisini 79000 ya sasa mpaka Elfu hamsini na tisa 59000 tu,mbali punguzo hilo na pia bwana Kissaka alisema wateja wasasa wakilipia malipo ya Kingamuzi kwa mwezi watapata ofa kwa mfano mteja atakayelipia kwa mwezi mmoja na nusu atapata siku kumi na tano bure,na mteja atakayelipia kwaanzia Lakini na ishirini atapata simu mpya aina ya Smartphone iliyounganishwa na King'amuzi cha startimes kilichosheheni Chanel zaidi ya 20
|
Hakuna maoni
Chapisha Maoni