DK SHEIN AMPONGEZA JACK ZOKA KUTEULIWA KUWA BAROZI SOMA HAPA KUJUA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mpya wa Tanzania Nchini Canada Jack Mugendi Zoka alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais baada ya kuteuliwa rasmi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mpya wa Tanzania Nchini Canada Jack Mugendi Zoka aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais baada ya kuteuliwa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi Mpya wa Tanzania Nchini Canada Jack Mugendi Zoka baada ya mazungumzo alipofika kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibarbaada ya kuteuliwa. Picha na Ikulu, Zanzibar
Hakuna maoni
Chapisha Maoni