NBAA YAPEWA KONGOLE NA SERIKALI, KIGHOMA ASEMA UJENZI MPYA WA KITUO CHA TAALUMA NA UHASIBU NI HATUA ZA KUPONGEZWA
Na Kasali Mgawe, Daresalam.
SERIKALI imeipongeza bodi ya uhasibu na ukaguzi wa mahesabu (NBAA) kwa kuweza kujenga kituo cha taaluma na uhasibu ambacho kitatumiwa kusaidia kupunguza gharamza za uendeshaji wa bodi hiyo.
Akizungumza katika mahafali ya 36 ya NBBA mwishoni mwa wiki jijini dare s salaam naibu waziri wa fedha mh. KIGHOMA MALIMA amesema kuwa kujengwa kwa kituo hicho kutapunguza gharama za uendeshaji wa bodi ususani katika masuala ya mitihanai,semina na mafunzo mbalimbali na vile vile kama chanzo cha mapato.
Waziri malima alisema kuwa NBBA imeamua kufanya mahafali hya kataika kituo hiki ili wadau mbalimbali waweze kujionea wenyewe maendeleo ya kituo hiki,kituo cha kitakuwa na huduma mbalimbali zikiwemo kumbi za mikutano ,huduma za hoteli na malazi ,huduma za mazoezi na nyinginezo

“Serikali itaendelea kusaidia NBAA katika kukamilisha ujenzi wa kituo hiki ,naelewa kuwa ujenzi unaendelea vizuri na kuwa kituo kinatarajiwa kukabidhiwa kwa NBBA hivi karibuni”alisema waziri malima.
Aidha waziri malizma alisema kuwa serikali kupitia wizara ya fedha itaendelea kushirikiana na NBBA katika mambo mbalimbali hasa yale yanayolenga kuboresha fani ya uhasibu na ukaguzi wa hesabu hapa nchini ,pia itaendelea kusaidia bodi katika kutekeleza majukumu na malengo yake hii ni pamoja na kuendelea kuboresha mishahara ya wafanyakazi wa NBBA ili kuwapa motisha zaidi wa kufanya kazi kwa moyona kwa ufanisizaidi.
Naibu waziri huyo ameitaka NBBA kushirikiana na bodi nyingine za nje kwa ukaribu zaidi ili iweze kujifdunza kwa wengine kwa kuwa kila siku kuna mambo mapya ya kujifunza .
Waziri malilma alihitimisha kwa kuwapongeza wahitimu wote ambao wametunukiwa vyeti na baadhi yao kupewa zawadi mbalimbali kufanya vizuri zaidi katika masomo:nafahamu kwamba kuna wengine wengi
Maoni 1
HAHAHA MMEKULA PESA
Chapisha Maoni