HIVI NDIVYO TAMASHA LA WELCOM PACK LA TIGO LILIVYOBURUDISHA WATU HUKO DODOMA,
Mratibu wa masoko wa kanda ya kaskazini na katibu Bw. Saitoti nankara akiongea na umati uliojitikeza kwenye uzinduzi wa welcom pack uwanja wa jamuhuri mkoani Dodoma mwishoni mwa wiki |
wateja wakipata maelezo kutoka katika banda la tigo kuhusiana na kampeni ya welcome pack iliyofanyika mwishoni mwa wiki huko mkoani DODOMA |
Wateja wa Tigo wakiwa katika basi la kidigitari la kampuni hiyo wakipata maelezo kuhusiana na kampeni ya welcome pack iliyofanyika mwishoni mwa wiki huko Dodoma |
Msanii Emanuel Simwinga maarufu IZZO BUSINESS akipiga bonge la shoo katika tamasha hilo la welcome pack mwishoni mwa wiki katika uwanja wa jamuhuri |
Wasanii wa Original Comedy wakiwapa buradani wananchi waliohudhuria Tamasha la welcom pack katika uwanja wa Jamuhuri huko Dodoma mwishoni mwa wiki |
Hakuna maoni
Chapisha Maoni