FINCA YAZIDI KUWAJALI WATANZANIA,SOMA HAPA
Kaimu Afisa Mwendeshaji Mkuu wa FINCA Tanzania ,Bwan.Daniel Mhina akifafanua zaidi kuhusiana na Faida za akaunti za akiba za Finca kuwa ni nyingi,ikiwa ni pamoja na urahisi wa kufungua na kuendesha akaunti,taratibu za kufungua akaunti zina mahitaji madogo,kutoa na kuweka pesa bure kwenye matawi yote nchini na usalama wa fedha za mteja kupitia mfumo wa bayometriki unaotumiwa na benki hiyo.Bwan Daniel alisema kuwa kupitia matawi ya FINCA inahudumia wateja zaidi ya 120000 ambao wanahudumiwa na zaidi ya wafanyakazi 700 nchini. pichani shoto ni Mkuu wa Huduma za Kibenki wa FINCA,Bwa.Gershom Mpangala pamoja na Meneja tawi la Magomeni Bwa.Cassian Clovis. |
Hakuna maoni
Chapisha Maoni