Zinazobamba

"BERTH" YA RAIS HII HAPA

ALIEWAHI KUWA RAIS WA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI NA MWENYEKITI WA VIJANA WA CCM MKOA WA TABORA, NDG. SEIF KHAMIS GULAMALI AKIWA KATIKA MOJA YA MIKUTANO YAKE HUKO MKOANI TABORA, RAIS HUYO SASA AMETIMIZA MIAKA 30.

MWENYEKITI huyo wa ccm mkoa wa Tbora amepitia mengi katika umri wake huo wa miaka 30na huenda mengine amefanikiwa na mengine yamemshinda, sisi mtandao huu wa kijamii wa FULLHABARI  tukiwa kama wadau wakuu wa siasa za bongo tunakutakia siku njema ya kuzaliwa kwako, 
Tunafahamu umeondokewa na wazazi wako wote, lakini hilo lisikuvunje moyo maisha ni safari yakupasa kukaza buti na kufikia malengo ya kuwatetea vijana wa mkoa wa Tabora na nchi kwa jumla, 

Naambiwa umekuwa mbinafsi kwa kupendelea jimbo  la urambo, basi kama hilo ndilo jaribu kuwa balance kwani vijana wa mkoa ni wengi na hawako hapo urambo peke tu.

Hakuna maoni