Kishindo katika tasnia ya habari,gazeti la mawio lanusurika kufungwa leo hii, Kisa ni kuripoti hati feki ya muungano
Mkurugenzi , wa idara ya habari maelezo, Idara ya habari maelezo ndiy yenye haki ya kufungia ama kusajiri magazeti |
Kwa habari ambazo zimetufikia hivi punde kutoka chanzo maalum, kinasema sababu ya kutaka kifunga mdomo chombo hicho cha habari kinarioti habari za bunge hilo kwa weledi wa hari ya juu ni kutokana na habari yake ya leo, ambayo inaonekana kuwakwaza wakubwa wenye maslhai na katika iliyo katika mchakato,
Chanzo hicho kinasema, Mawio wamekuwa wakiandika habari ya hati ya muungano kuwa si yenyewe, sababu ambayo inahisiwa kuwa ndiyo iliyosababishwa kwa gazeti hilo kutaka kufungiwa mapema hii leo hapa jijini Daresalaam,
Wataalam wa mambo wanasema, hatua ya kutaka kuvifungia baadhi ya vyombo vya habari ili kuwaziba mdomo wananchi wasiweze kupata taarifa za uhakika na kwa wakati, ni kutaka kuuchafua mchakato mzima wa katiba mpya inayotengenezwa huko Dodoma
Mtandao, huu unafuatilia kwa undani kujua hasa ni kwanini walikuwa na dhamira hiyo ya kufungia chombo hicho ambacho kimeonyesa utayari wake wa kumpa mtanzania habari za uhakika na za kuaminika,
Hakuna maoni
Chapisha Maoni