Zinazobamba

HAYA HAPA MAJIMBO AMBAYO WANACHAMA WA NLD WAMECHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA IBUNGE

Orodha ya Majimbo Ambayo Wanachama wa Chama cha NLD Wameshachukua Fomu za Kuomba Kuteuliwa Kugombea Ubunge

Majimbo Ambayo Wanachama wa NLD Wameshachukua Fomu za Kugombea Ubunge (Hadi Leo Tarehe 19 Agosti 2025)NLD inawapongeza wanachama wake waliojitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi ya Ubunge katika uchaguzi ujao. Hadi sasa, fomu zimechukuliwa katika majimbo yafuatayo.

1. Mvumi

2. Segerea

3. Iramba Magharibi

4. Dodoma Mjini

5. Babati Mjini

6. Bunda Mjini

7. Sumve

8. Kwimba

9. Kondoa Mjini

10. Singida Mjini

11. Arusha Mjin

12. Ukerewe

13. Nyamagana

14. Buchosa

15. Sengerema

16. Ilongero

17. Korogwe Mjini

18. Ukonga

19. Arumeru Magharibi

20. Arumeru Mashariki

21. Kawe

22. Kinondoni

23. KibahaChama cha NLD kinaelekea kuwahimiza wanachama wengine na Watanzania kwa ujumla kuendelea kujitokeza kushiriki mchakato huu muhimu wa kidemokrasia nchini.

Imetolewa na

Mkurugenzi wa Mipango na Uchaguzi Taifa, NLD

Ndugu Don Waziri Mnyamani

Temeke, Tandika, Mtaa Lituh

Dar es Salaam, Tanzania

No comments