MASAUNI AKITETA JAMBO NA WAZIRI ULEGA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akiteta jambo na Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Utamaduni la Bulabo lililofanyika katika Uwanja wa Red Cross Bujora, Kisesa Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, Juni 21, 2025.
No comments
Post a Comment