Mshindi wa Tigo Fiesta Supa Nyota 2017 apatikana jijini Mwanza
| Mshindi wa Tigo Fiesta Supa Nyota 2017 toka Mwanza, Fatuma Msafiri akiimba wakati wa kumtafuta mkali wa kipaji cha kuimba jijini Mwanza |
| Msanii Chipukizi Lusinde Michael a.k.a Real Da Best akionesha umahiri wake wa kufoka foka kwenye mchuano wa kusaka kipaji cha Tigo Fiesta Supa Nyota 2017 jijini Mwanza |
| Top 2 wakisubiri kutajwa kwa mshindi kati yao. |
| Majaji wakijadiliana jambo. |
| Wasanii walioingia Top 4 wakisubiri mchujo wa kuingia top 2. |
| Sehemu ya umati uliojitokeza kushiriki Tigo Fiesta Supa Nyota 2017 jijini Mwanza. |
| Majaji wakiongozwa na Nickson wakiwa kwenye picha ya pamoja na mshindi wa Tigo Fiesta Supa Nyota 2017 toka Mwanza Fatuma Msafiri. |