Timu ya Vijana wa Serengeti Boys wamerejea nchini Leo hii Majira ya Saa 8: 50 wakitokea Nchini Gabon walikokuwa wakishiriki michuona kufuzu kushiriki Kombe la Dunia kwa vijana wa Wenye umri chini ya miaka 17.
Vijna hao wamepolewa na Waziri wa Habari, Michezo, Sanaa na utamaduni Dkt Harisoni Mwakyembe.
TIZAMA RIPOTI YA PICHA YA WACHEZAJI WA SERENGETI BOY WAKIREJEA NCHINI,SOMA HAPO KUJUA
Reviewed by Unknown
on
17:42:00
Rating: 5