Zinazobamba

JIJI LA DAR HALITAMANIKI KABISA,,TIZAMA PICHA BAADA YA MVUA KUBWA KUNYESHA LEO,SOMA

u.
 Kutokana na Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali hapa jijini Dar es salaam leo, soko la Sinza limelazimika kufungwa kwa muda kutoka na kujaa maji eneo lote la soko hilo.
 Leo huduma haita patikana hapa.
 Haya shtuaaaa.......

L