Zinazobamba

BAADA YA KUFUKUZWA KAZI NA RAIS MAGUFULI,ZITTO KABWE NA BASHEE WASEMA YA MOYONI,SOMA HAPO KUJUA

Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli leo kutengua uteuzi wa Waziri  wa Habari, Sanaa, Utamaduni na michezo, Nape Nnauye.....mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe na Mbunge wa Nzega, Hussein Bashe wametoa kauli kuhusiana na sakata hili

Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa twitter ameandika:"Nimezungumza na mbunge wa Mchinga Nape kuthibitisha kuwa Ni Kweli ameondolewa kwenye Uwaziri. Nape ni Shujaa wa kizazi chetu"
Nimezungumza na mbunge wa Mchinga @Nnauye_Nape na kuthibitisha kuwa Ni Kweli ameondolewa kwenye Uwaziri. Nape ni Shujaa wa kizazi chetu
Bashe kupitia Instagram kaandika:You will never walk alone, I know you, we know you, Justice will prevail no matter how long it will take.

Karibu back bench tutumikie Taifa letu, Majimbo yetu na Chama chetu usivunjike moyo. It's just beginning of a New journey.
 

A