WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA NAYE AUNGANA NA WAISLAM KATIKA SIKUKU,TIZAMA RIPOTI YAKE YOTE HII HAPA,SOMA HAPO KUJUA
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akijumuika pamoja na Waumini wengine wa Dini ya
Kiislam, akiwemo Rais Mstaafu wa awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi
(wa pili kulia), Mufti wa Tanzania, Alhaj Sheikh Abubakary Zubeir
(katikati), Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhaj Mussa Salum
pamoja na Naibu Mufti, Sheikh Hamid Jongo katika swala ya Eid El Fitr
iliyoswaliwa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Jijini Dar es salaam leo,
ikiwa ni kusherehekea kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa
Ramadhan.
Sheikh
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhaj Mussa Salum akitoa hotuba ya Eid
El Fitr, kwa waumini wa Dini ya Kiislam walioshiriki ibada hiyo,
iliyoswaliwa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Jijini Dar es salaam leo,
ikiwa ni kusherehekea kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa
Ramadhan.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa salam za Eid El Fitr, kwa waumini wa Dini
ya Kiislam walioshiriki ibada hiyo, iliyoswaliwa kwenye viwanja vya
Mnazi Mmoja, Jijini Dar es salaam leo, ikiwa ni kusherehekea kumalizika
kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa (wa tatu kulia) akijumuika pamoja na Waumini
wengine wa Dini ya Kiislam, akiwemo Rais Mstaafu wa awamu ya Pili, Alhaj
Ali Hassan Mwinyi (wa pili kulia), Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally
Hapi, wakifatilia kwa makini hotuba ya Eid El Fitr, iliyokuwa ikitolewa
na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhaj Mussa Salum katika
viwanja vya Mnazi Mmoja, Jijini Dar es salaam leo, ikiwa ni kusherehekea
kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu za Serikali, Alhaj Mussa Assad akijumuika na waumini
wenzake katika Swala ya Eid el Fitr, iliyoswaliwa kwenye viwanja vya
Mnazi Mmoja, Jijini Dar es salaam leo, ikiwa ni kusherehekea kumalizika
kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Sehemu
ya Waumini wa Dini ya Kiislam kutoka maeneo mbalimbali wakijumuka
pamoja katika Swala ya Eid el Fitr, iliyoswaliwa kwenye viwanja vya
Mnazi Mmoja, Jijini Dar es salaam leo, ikiwa ni kusherehekea kumalizika
kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa, akipeana Mkono wa Eid el Fitr na Mufti wa
Tanzania, Alhaj Sheikh Abubakary Zubeir, mara baada ya Swala, kwenye
viwanja vya Mnazi Mmoja, Jijini Dar es salaam leo, ikiwa ni
kusherehekea kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiendela kupena mikono na waumini wengine.
Dua ya pamoja.
Hakuna maoni
Chapisha Maoni