TRA YATANGAZA VITA NA WAFANYABIASHARA WANAOFANYA MAGENDO,SOMA HAPO KUJUA
![]() |
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA),
Alphayo Kidata(Kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam
leo kuhusiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) kuvuka lengo la makusanyo ya
Kosi kwa mwaka 2015/2016.Kulia ni Kamishna wa mapato ya ndani
wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA), Elijah Mwandumbya.
|
MAMLAKA
ya Mapato Tanzania(TRA) itaendelea kudhibiti na kupambana na
wanaofanyabiashara za magendo katika vituo mbalimbali ambavyo vinaendelea
na vitendo vya magendo.
Hayo yamesemwa na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA), Alphayo Kidata wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo. Amesema TRA imefuka lengo la Makusanyo ya kodi kwa mwaka 2015/2016.
Amesema TRA itazidi kupambana na kuziba mianya yote ya upotevu wa mapato hususani katika msisitizo wa matumizi wa Mashine za Kieletroniki za kodi za EFDs pamoja na ukaguzi wa mara kwa mara na kufuatilia madeni.
Pia amesema kuwa TRA itaendelea kudhibiti wafanyabiashara wanaokwepa kutumia mashine za Kieletroniki za kodi za (EFDs) kwa kuwakamata na kuwatoza faini au kuwafikisha mahakamani na kuwachukulia hatua za kisheria ili kuhakikisha inafikia na kuvuka malengo.
Amesema kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) imeshagawa mashine za Kieletroniki za EFDs 1120 kwa wafanyabiashara wanaostahili kupata mashine hizo bure na ambao hawajachukua machine za kieletroniki za kodi za EFDs ili kuwezesha TRA kukusanya mapato ya Serikali.

Hakuna maoni
Chapisha Maoni