ASILIMIA 71 YA VIJANA HAWANA AJIRA NCHINI,OFISI YA TAKWIMU YATOA TAARIFA,SOMA HAPO KUJUA
NA
KAROLI VINSENT
WAKATI
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akihimiza
watanzania kufanya kazi imebainika asilimia 71 ya watanzania hawafanyi kazi za
uzalishaji ili kujiletea maendeleo .
Kwa
mujibu wa utafiti uliofanywa na ofisi ya Taifa Takwimu kupitia toleo la utafiti la mwaka 2014
lijulikanalo kama ‘’Intergrated Labour force Survey Analytical Report
imeoneshakuwa zaidi ya watu walipo kati ya umri wa miaka 15 nakuendelea
wamekuwa wakitumia muda mwingi wa wastarehe ikiwemo kujihudumia nakulala kuliko
kufanya kazi za uzalishaji mali .
‘’Uchambuzi
wa kijinsia ulionesha kuwa wanaume watumia muda wao mwingi
katikashughuli za kiuchumi kwa asilimia 28 huku wanawake wakitumia asilimia 13
.5 kwashughuli za kiuchumi wakati huo huo wanawake walitumia muda mwingi
washughuli za nyumbani zisizokuwa na malipo ikilinganishwa na wanaume asilimia
4.4 ‘’Ilisema ripoti hiyo.
Ripoti
hiyo llibainishakuwa hali yaukosefu wa ajira kwawatu wenye ulemavu kati yaumri
wamiaka 15 nakuenelea ni asilimia 12.4 ambapo ripoti hiyo ilidai kuwa kiwango
hicho nikikubwa kuliko kiwango cha kitaifa cha asilimia 10.3
Ilisema
kuwa hali yawanawake wenye ulemavu ni asilimia 14.6 ikilinganishwa na asilimia
9.5ya wanaume wenye uwezo wakufanya kazi.
Hakuna maoni
Chapisha Maoni