Zinazobamba

MAUZO KATIKA SOKO LA HISA YATIA FORA KWA MWAKA 2015,SOMA HAPO KUJUA

hali ya  mauzo katika  soko  la   hisa   Dar es salaam (DSE) imepanda  ,mara  dufu  kwa mwaka 2015 hadi kufikia  Trilioni moja ikiwa  ni katika   mpango  mkakati wa miaka   mitano wa mabadiliko katika   taasisi  hiyo ulioanza  mwaka 2013.

Meneja Fedha soko la Hisa Dar es salaam DSE IBRAHIMU MSHINDO akitoa ufafanuzi kuhusiana namwenendo wa soko la mitaji katika soko la hisa

Akizungumza na waandishi wa Habari Meneja Fedha wa soko hilo Ibrahimu Mshindo amesemakuwa  ongezeko la  makampuni    pamoja na ubinafsishwaji wa  makampuni ya  serikali umechangia   kwa  kiasi kikubwa   kupanda  kwa  mauzo   ya   hisa  katika   kipindi   cha   miaka   mitatu   ya   mpango mkakati   huo.

‘’KATIKA kipindi cha Mwaka 2012 - 2013  tuliuza  jumla ya bilioni 50  ambapo mwaka  2013  tulifikia   mauzo ya hadi    bilioni 253 kabla   ya  mwaka  2014  ambapo mauzo   yalipanda   hadi kufikia  milioni 383  ambapo katiuka n  m3waka  wa tatu  wa   mpango wetu  wa miaka   mitano   tumeweza   kufikia Trilioni moja ‘’Alisema  Mshindo. .
 


chati   ya   ukuaji   wa   mtaji na   uwekezaji soko   la  dse  kwa   mwaka 2015 pamoja na   nembo   mpya b  ya   soko   la   hisa DSE

Meneja Mshindo amesema kuwa    kwa  mwaka   2016   wanatarajia   kupoata   mauzo   zaidi   kutokana   na  mtiririko wa  ongezeko    ambapo kmila   mwaka   tangu  waanze   mpango   mkakati  kumekuwa   na   ongezeko la   hadi   kufikia   mara   mbili   ya  mauzo   ya   mwaka   uliofuatia .

Vile  viule     alidokeza   kuwa   soko   la   hisa   litaonyesha   mfanbo   kwa   kuweka   hisa   zake   sokoni   na kuonyesha   uimara   wake   na   mfano  kwa   makampun9i mengine   yaliyop[o    sokoni.

kwa  mwaka 2016 DSE  pia   wamebadilisha   nembo   ili   kukimbizana na    soko   pamoja   na maendeoleo   ya   hali ya   biashara   ulimwenguni   kwa   kuweka    nembo   itakayoshawishi   wawekezaji   kuwekeza ikwa   urahis

Hakuna maoni