Zinazobamba

DC MAKONDA APANIA KWELI KULETA MAENDELEO WILAYA YA KINONDONI, AJA HICHI ,SOMA HAPO KUJUA

Pichani ni Mkuu wa wilaya ya Kinondoni,Paul Makonda akizungumza na Barozi wa Uingeleza nchini leo alipomtembelea kufanya mazungumza katika kuleta maendeleo katika wilaya hiyo               

NA KAROLI VINSENT
MKUU  wa wilaya ya Kinondoni,Paul Makonda akishirikiana na Barozi wa Uingeleza  nchini,Dianna Melsrose wamezamilia  katika  kasi ya kuleta  maendeleo ya pamoja katika Halmashauri hiyo.
Maendeleo hayo ikiwemo kujenga shule za kisasa za sekondari ikiwemo kuzifunga mtandao wa internet shule hizo ili kuwasaidia wanafunzi katika kutatua tatizo la  uhaba wa vitabu,pamoja na kuzisaidia   kata zaidi 30 katika halmashauri ya kinondoni kwa kila kata kupewa Gari moj  la kubebea wagonjwa.

Akizungumza na wanahabari leo Jijini Dar es Salaam,mara baada ya kumalizika kikao kati yake na Barozi Melsrose.DC Makonda amesema barozi huyo amekubali kuzisaidia wilaya yake kwa kuinua sekta ya elimu ambayo amedai ni njia pekee ya kuleta mendeleo.

.“Kwa sasa Barozi amefurahishwa na hatua yangu ninayofanya ya kuleta maendeleo katika wilaya yangu,kwa sasa ameamua kushirikiana na mimi katika kutoa gari la wagonjwa kwenye kila kata,pamoja na kuwakea mtandao wa internet kwa kila sekondari katika wilaya yangu ili iweze kuwasaidia wanafunzi kujisome
Kwa upande wake Barozi wa wingeleza nchini,Dianna 
Barozi wa Uingeleza nchini,Melsrose akimsikiliza,Paul Makonda

Melsrose,amesema amefurahishwa na ushirikiano aliouonyesha Makonda kwa nchi ya wingeleza huku akimuhakikishia kumsadia katika kuleta maendelea katika wilaya yake,huku akidai ni wilaya yenye watu wengi na inahitaji msaada wa haraka ili iweze kupiga hatua.

Hakuna maoni