Zinazobamba

WATANZANIA WAENDELEA KUFA KWENYE MIGODI,WENGINE WAFA CHUNYA,SOMA HAPO KUJUA



Wachimbaji kadhaa wamefukiwa na kifusi katika kijiji cha Sangambi wilaya ya Chunya mkoani Mbeya hivi sasa, Juhudi za kuokoa uhai wao zinaendelea muda huu.

Tinga tinga likiendelea na juhudi za uokoaji hivi sasa.

Hakuna maoni