Zinazobamba

MAGUFULI AMUAPISHA WAZIRI MZIGO MAGHEMBE,TIZAMA RIPOTI NZIMA YA PICHA,SOMA HAPO KUJUA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhandisi Gerson Lwenge kuwa Waziri wa Maji na Umwagiliaji Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Jumanne Maghembe kuwa Waziri wa Maliasilina Utalii Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Prof. Makame Mbarawa baada ya kumhamisha kutoka Wizara ya Maji na Umwagiliaji na kwenda kuwa Waziri katika Wizara ya Ujenzi, uchukuzi na Mawasiliano Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Joyce Ndalichako kuwa Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Philip Mpango kuwa Waziri wa Fedha na Mipango Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mheshimiwa Hamad Masauni kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Ikulu jijini Dar es Salaam.

Maoni 1

Bila jina alisema ...

Magufuli wewe ni raisi uliochaguliwa kwa kura za bara na visiwani Zanzibar. Mtangaze aliieshinda uraisi Zanzibar kuepusha moto usiwake huko na kufik cheche bara