TACCEO WATAKA ZEC KUMTANGAZA RAIS, WADAI UCHAGUZI ZANZIBAR ULIKUWA HURU NA HAKI.
Sehemu ya waandishi wa habari wakimsikiliza Islael Ilunde wakati akiwasilisha tathmini ya uchaguz mkuu . |
waandishi wa habari wakiwa tayari kuchukua picha za matukio hayo. |
Mratibu wa mtandao TACCEO Bw HAMIS MKINDI akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari kuhusu uchaguzi mkuu uliopita. Pembeni yake ni wakili Imelda Urio. |
Wakili Imelda Urio akijibu baadhi ya maswali kutoka kwa waandishi wa habari. |
Selikali imeaswa kushughulikia kesi za uchaguzi kwa wakati ili kuepusha
wananchi kukosa haki yao ya msingi ya uwakilishi bungeni
Hayo yamesemwa
na kaimu mwnyekiti wa (TACCEO) BW ISLAEL ILUNDE wakati alipokuwa akitoa ripoti ya
uchaguzi wa mwaka ulimalizika octaba 25 mwaka huu.
Aidha Bwa Ilunde ameeleza kuwa uangalizi wao umebaini kutotekeleza majukumu kwa wakati kulikokuwa kunafanywa na tume ya taifa ya uchaguzi akitolea mfano kitendo cha kuchelewesha vifaa vya kupigia kura katika maeneo mbalimbali.

Kwa upande wake mratibu wa mtandao huo
Bw HAMIS MKINDI amesema kuwa tume ya taifa ya uchaguzi lazima iwe
inachukulia changamoto zinazojitokeza kwenye uchaguzi husika kama somo
kwa uchaguzi mwingne.
Sambamba na hilo BW MKINDI amevishauri vyombo vya
dola kusimamia haki ili taifa liweze kuongozwa kwa misingi ya uwazi,haki
na uadilifu
Aidha Ilund alisema kwa miaka mingi kunakuwaga na ucheleweshaji wa kesi za uchaguzi jambo linalopelekeaga wananchi wa eneo husika kukosa uwakilishi na hatimaye jimbo lao kutofanya maendeleo
Aidha Ilund alisema kwa miaka mingi kunakuwaga na ucheleweshaji wa kesi za uchaguzi jambo linalopelekeaga wananchi wa eneo husika kukosa uwakilishi na hatimaye jimbo lao kutofanya maendeleo
Kuhusu uchaguzi wa Zanzibar, waangalizi hao wametangaza kuwa uchaguzi huo ulikuwa huru na haki lakini wanashangazwa na tume ya uchaguzi ZEC kushindwa kumtanga mshindi mpaka sasa.
Urio alisema waangalizi wao wote walionyesha kuwa uchaguzi wa Zanziba haukuwa na dosari yoyote hivyo ni matarajio yao ZEC itamtangza mshindi na siyo zoezi la kurudia kupiga kura.
Wakati wanazindua bunge baadhi ya wabunge wanaunga mkono umoja wa Ukawa walitoka nje kufuatia Rais wa Zanzibar Mh. Shein Kuingia viwanja vya bunge na kukaa katika nafasi ya rais wa Zanzibar.
Hakuna maoni
Chapisha Maoni