Zinazobamba

PIGO KUBWA SANA CHADEMA,KAMANDA WAKE MUHIMU WA GEITA AFANYIWA NYAMA WA KUTISHA,SSOMA HAPO KUJUA



Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo ameuawa leo mjini Katoro baada ya kushambuliwa kwa mapanga na shoka na kumjeruhi vibaya sehemu mbalimali za mwili wake hasa kichwani wakati akifanya kampeni za kumnadi diwani wake

Mawazo aliyewahi pia kuwa Diwani wa Kata ya Sombetini Arusha amefariki dunia akiwa hospitalini alipokimbizwa katika jitihada za kujaribu kuokoa maisha yake. Mganga Mkuu Geita amethibitisha.
Mpekuzi blog

No comments