Zinazobamba

MAUAJI YA KINYAMA KWA KAMANDA WA CHADEMA GEITA,YAMLIZA LOWASSA,AIBUKA NA KUSEMA HAYA,SOMA HAPO KUJUA



Katika Ukurasa Wake wa Facebook Lowassa ameandika Haya Kuhusu Kifo cha Mwenyekiti wa Chademe Mkoani Geita:

"Nimeshtushwa na kusikitishwa na taarifa za msiba wa kijana wetu Alphonce Mawazo, Natoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki pamoja na familia yetu ya UKAWA.Hakika tumeondokewa na mpiganaji."

No comments