SAED KUBENEA AMESHINDIKANA KABISA, ALITIKISA JIJI LA DAR LEO,AMCHAKAZA MASABURI,SASA KUPUMULIA MASHINE JUMAPILI,SOMA HAPO KUJUA
MWANDISHI wa Habari hodari nchini ambaye ni Mgombea
Ubunge kupitia jimbo la Ubungo,Saed Kubenea leo amelitikisa jiji la Dar es
Salaam ndivyo naweza kusema baada ya kufanya mkutano mkubwa wa hadhala kwenye
viwanja vya mbulahati jijini Dar es Salaam.
Taarifa zinasema Barabara zote muhimu za kigogo
zilisimama baada ya watu wengi kufulika kwenye mkutano wa Gwiji huyo wa habari
za kiunchunguzi nchini,
Kubenea
akiwahutubia wananchi hao,amewataka kumchagua ili aingie Bungeni akapambana na
wezi pamoja mafisadi kwani uwezo huo anao huku akijanasibu kwa kusema mafisadi
wamemshindwa kwenye uandishi wa habari kwahiyo hawataweza kumzuia Bungeni.
Hakuna maoni
Chapisha Maoni