Zinazobamba

NI KILIO JIJI ZIMA LA DAR,KIFO CHA MAKAIDI CHA WALIZA WENGI,SOMA HAPO KUJUA



Baadhi ya matukio ya picha katika ibada ya kuuaga mwili wa marehemu Dkt Emmanuel Makaidi, Mwenyekiti mwenza wa UKAWA, katika viwanja vya Karimjee, posta, jijini Dar Es Salaam.Dr. Makaidi Amezikwa katika Makaburi ya Sinza, Dar Es Salam

Hakuna maoni